Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2017

RC Paul Makonda kuongea na vyombo vya habari dodoma leo je waandishi wameshasitisha maazimio yao waliyoyatoa

Picha
RC PAUL MAKONDA KUONGEA NA VYOMBO VYA HABARI Waandishi wa habari wakiwa katika ukumbi tayari wakimsubilia mkuu wa mkoa Dar es salaam Ikumbukwe kwamba hivi karibuni baada ya tukio lililoonekana ni la kuvamiwa kwa kituo cha habari cha clouds media na mkuu wa mkoa Dar es salaam RC Paul Makonda, waziri aliyekuwa akihudumu katika wizara hiyo aliunda kamati ya uchunguzi wa tukio hilo na kuja na mapendekezo kadhaa  moja ya mapendekezo hayo ni kutoandika habari zinazomhusu mkuu huyo wa mkoa wa Dar es salaam  Katika hali iliyozusha sintofahamu inasadikika ni kwa tukio hilo ndilo lililosababisha aliyekuwa waziri wa habari sanaa michezo na wasanii atolewe katika nafasi yake lakini ni je baada ya hayo yote imekuwaje waandishi wakae mkao wa kula wakimsubilia mkuu huyo awape neno, je ? ni kweli waandishi walitoa mapendekezo yale kwa umoja wao au yalikuwa mapendekezo ya mmoja wao tu, au baadhi ya vyombo vichache  Ila ukweli ni kwamba makonda leo anataraji...

UCHAMBUZI - kikosi cha mpila cha bara la afrika kwa kuangalia thamani za wachezaji katika kila idara

Picha
kupitia mtandao wa transfermarkt lionel messi ametajwa kama mchezaji ghali zaidi ulimwenguni kwa sasa akiwa na thamani ya euro million 120 akifuatiwa na cristiano ronaldo pamoja na neymar junior wenye thamani za million 100 euro kila mmoja lakini kwa upande wa bara la afrika mchezaji ghali zaid ni pierre aubameyang mwenye thamani ya 65 million euro huku kidunia akiwa nafasi ya 12 na katika ligi ya ujerumani akiwa mchezaji wa pili nyuma ya roberto lewandowsk mwenye thamani ya 80 million euro , katika bara la afrika mchezaji wa pili ni saidio mane mwenye thamani ya euro 38 million hali inayoonyesha tofauti kubwa kati ya wa kwanza na wa pili katika kupanga kikosi cha team ya bara la afrika kumekuwa na cha changamoto ya upungufu mkubwa katika nafasi ya magolikipa kwani magolikipa wengi wa afrika wana thamani na  uwezo mdogo , wakati ulaya ina magolikipa watatu wenye thamani ya euro million 40 , afrika kuna golikipa mmoja tu mwenye thamani ya euro million 4 kifuata...

lipumba amvua ukatibu mkuu maalim seif

Picha
Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF leo ametangaza kumvua nafasi ya ukatibu mkuu aliyekuwa makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar na katibu mkuu wa CUF na nafasi take kuchukuliwa na mbunge wa kaliua Mh.Magdalena Sakaya Akitangaza maamuzi hayo emesema maalim seif amevuliwa nafasi yake kutokana na utoro kazini

Barakah The Prince akana kurudi katika menejiment yake ya zamani

Picha
Msanii wa kizazi kipya baraka andrew almaarufu Barakah The Prince amekana kurudi katika menejiment yake ya zamani wakati akihojiwa katika kituo cha redio ya clouds fm, Pia  alifananisha kurudi kwenye menejiment yake ya zamani sawa na kujenga ghorofa na kulibomoa na kwenda kuishi kwenye nyumba ya udongo, hayo yamesemwa leo katika kipindi cha  xxl cha clouds fm, Vip wewe shabiki yake unazungumziaje menejiment hii ya barakah ukiiangalia ile aliyoanza nayo muziki ? Je kwa hapa alipo rocstar 4000 ni sawa na ghorofa kurudi kwenye menejiment yake ya mwanzo tetemesha entertainment ni sawa kurudi kwenye nyumba ya udongo ?

TAKWIMU - Epl ligi bora duniani ikifuatiwa na la liga

Kupitia mtandao wa transfermarkt ambao huwa unatoa taarifa za wachezaji , team ,ligi na michuano mbali mbali, nimekuletea taarifa takwimu zinazoonyesha thamani ya ligi kuu ya uingereza na ile ya uhispania,thamani ya vilabu viwili vya juu na viwili vinavyoshika mkia  Zifuatazo ni tarifa hizo kama zinavyoletwa kwenu na mimi mwandishi wenu wa wabongo KIGEZO  EPL (EURO) LALIGA(UERO) THAMANI YA LIGI NZIMA 4.91 Billion 3.62 Billion WASTANI WA THAMANI ZA WACHEZAJI 9.54 million 7.5 million MCHEZAJI GHALI KATIKA LIGI 80 million 120 million VILABU VYENYE THAMANI ZAID YA KWANZA 525.25 million 766.80 million YA PILI 515.00 million 753.50 million VILABU VYENYE THAMANI NDOGO YA KWANZA 85.00 million 37.00million YA PILI 98.60 million 43.10 million TOFAUTI KATI YA WA KWANZA NA WA MWISHO 440.25million 729.8 million Mchanganuo hap...

Behind the scene kijuso-queen darleen ft rayvanny part 1&2

Picha
TAZAMA BEHIND THE SCENE ZA VIDEO YA KIJUSO KUTOKA WCB WASAFI NA UKIWEZA NIAMBIE ULICHOJIFUNZA KWENYE UTENGENEZAJI WA VIDEO PART 1 PART 2

Rais magufuli kupitia kwa waziri wa habari watengua kufungiwa kwa nyimbo ya nay wa mitego na kuagiza aachiwe

Picha
leo masaa machache baada ya kutoka kwa taarifa ya awali juuu ya kufungiwa kwa nyimbo ya ney wa mitego,rais ameamua kutengua kufungiwa kwa nyimbo hiyo hayo yamesemwa leo huko mjini dodoma na waziri wa habari alipokuwa akiongea na vyombo vya habarin na kuelezea kuwa  rais ameagiza kuachiliwa kwa msaniii huyo pamoja na kuitoa kifungoni nyimbo hiyo tena akipendezwa kama itaongezewa ujazo zaid na kugusa baadhi ya sehemu ambazo hazikutajwa hapo mwanzo rais ameonyesha kuipenda nyimbo hiyo na kutaka ipigwe redioni

wapo - nay wa mitego wimbo wafungiwa

Picha
wimbo wa wapo ulioimbwa na msanii nay wa mitego umefungiwa taarifa ya kufungiwa kwa nyimbo hiyo imetolewa na baraza la sanaa la taifa -BASATA Wimbo huo ulioonekana kuyateka masikio ya wanaburudani hasa baada ya kuwa umeenda na wakati uliopo kwa kuyagusa yale yanayosikika sana katika jamii kwa sasa nyimbo hiyo iliyoonesha utata pale tu ilipotoka kwa kuwagusa baadhi ya viongozi mashuhuri mf. magufuli na makonda aliyetajwa kama bashite, hayo yametokea baada ya msanii huyo kukamatwa huko morogoro na baadaye kurudishwa dar es salaam, ambapo leo BASATA kwa kutumia kifungu namba 4(L)cha sheria ya BASATA namba 23 ya mwaka 1984 kinachoipa BASATA mamlaka ya kusimamia yote yafanyikayo katika tasnia ya sanaa hayayumbishi usalama wa nchi

Nnape Nnauye fundi wa mpila alijisahau kucheza kwa maelezo ya kocha wake

Picha
Nnape Nnauye fundi wa mpila alijisahau kufuata maelekezo ya kocha wake Muundo wa serikali yoyote rais ndiye mwajibikaji wa kwanza kwa chochote kitakachofanyika na uongozi wa serikali yake,kama kocha atakavyohusishwa na matokeo mabovu au mazuri ya team yake Rais ndiye atakayelaumiwa au atakayesifiwa na ndiyo maana sasahiv rais amekuwa akilaumiwa saana katika dhana ya kutomwajibisha mkuu wa mkoa dar es salaam Mh. Paul Makonda licha ya kucheza vizuri kwa aliyekuwa waziri wa michezo mh Nnape Nnauye lakini bado alikuwa hachezi kwa maelekezo ya kocha wake aliyempa nafasi ya kuwa sehemu ya kikosi Nnape nikama alikuwa hajui kocha wake anataka nini, ama aliamua kucheza anavyojisikia yeye, na nikatika dhana hiyo ndipo utakapomuona makonda anacheza rafu nyingi na usimpende lakini ni katika rafu hizo makocha kama mourinho wanaamini watapata matokeo na wanahitaji mchezaji wao acheze, hata magufuli anamwamini makonda kama mchezaji wake mwenye nidhamu na anayekamilisha majukumu aliy...