Kupitia mtandao wa transfermarkt ambao huwa unatoa taarifa za wachezaji , team ,ligi na michuano mbali mbali, nimekuletea taarifa takwimu zinazoonyesha thamani ya ligi kuu ya uingereza na ile ya uhispania,thamani ya vilabu viwili vya juu na viwili vinavyoshika mkia Zifuatazo ni tarifa hizo kama zinavyoletwa kwenu na mimi mwandishi wenu wa wabongo KIGEZO EPL (EURO) LALIGA(UERO) THAMANI YA LIGI NZIMA 4.91 Billion 3.62 Billion WASTANI WA THAMANI ZA WACHEZAJI 9.54 million 7.5 million MCHEZAJI GHALI KATIKA LIGI 80 million 120 million VILABU VYENYE THAMANI ZAID YA KWANZA 525.25 million 766.80 million YA PILI 515.00 million 753.50 million VILABU VYENYE THAMANI NDOGO YA KWANZA 85.00 million 37.00million YA PILI 98.60 million 43.10 million TOFAUTI KATI YA WA KWANZA NA WA MWISHO 440.25million 729.8 million Mchanganuo hap...
Nnape Nnauye fundi wa mpila alijisahau kufuata maelekezo ya kocha wake Muundo wa serikali yoyote rais ndiye mwajibikaji wa kwanza kwa chochote kitakachofanyika na uongozi wa serikali yake,kama kocha atakavyohusishwa na matokeo mabovu au mazuri ya team yake Rais ndiye atakayelaumiwa au atakayesifiwa na ndiyo maana sasahiv rais amekuwa akilaumiwa saana katika dhana ya kutomwajibisha mkuu wa mkoa dar es salaam Mh. Paul Makonda licha ya kucheza vizuri kwa aliyekuwa waziri wa michezo mh Nnape Nnauye lakini bado alikuwa hachezi kwa maelekezo ya kocha wake aliyempa nafasi ya kuwa sehemu ya kikosi Nnape nikama alikuwa hajui kocha wake anataka nini, ama aliamua kucheza anavyojisikia yeye, na nikatika dhana hiyo ndipo utakapomuona makonda anacheza rafu nyingi na usimpende lakini ni katika rafu hizo makocha kama mourinho wanaamini watapata matokeo na wanahitaji mchezaji wao acheze, hata magufuli anamwamini makonda kama mchezaji wake mwenye nidhamu na anayekamilisha majukumu aliy...
watu wako makini sana location hawataki kuharibu hata kwa vitu vidogovidogo
JibuFuta