UCHAMBUZI - kikosi cha mpila cha bara la afrika kwa kuangalia thamani za wachezaji katika kila idara

kupitia mtandao wa transfermarkt lionel messi ametajwa kama mchezaji ghali zaidi ulimwenguni kwa sasa akiwa na thamani ya euro million 120 akifuatiwa na cristiano ronaldo pamoja na neymar junior wenye thamani za million 100 euro kila mmoja

lakini kwa upande wa bara la afrika mchezaji ghali zaid ni pierre aubameyang mwenye thamani ya 65 million euro huku kidunia akiwa nafasi ya 12 na katika ligi ya ujerumani akiwa mchezaji wa pili nyuma ya roberto lewandowsk mwenye thamani ya 80 million euro ,


Tokeo la picha la p aubameyang na lewandosk

katika bara la afrika mchezaji wa pili ni saidio mane mwenye thamani ya euro 38 million hali inayoonyesha tofauti kubwa kati ya wa kwanza na wa pili

katika kupanga kikosi cha team ya bara la afrika kumekuwa na cha changamoto ya upungufu mkubwa katika nafasi ya magolikipa kwani magolikipa wengi wa afrika wana thamani na  uwezo mdogo , wakati ulaya ina magolikipa watatu wenye thamani ya euro million 40 , afrika kuna golikipa mmoja tu mwenye thamani ya euro million 4

kifuatacho ni kikosi cha wachezaji kutoka afrika wanaoweza kuunda team ya afrika kwa kuangalia thamani ya mchezaji katika nafasi husika

  1. carlos                       -kameni      ...............malaga         euro  4
  2. sergie                       -aurier.......................PSG              euro 15
  3. abdulahman             -baba.......................Shalke 04      euro 17
  4. eric                            -bailly........................man u            euro 25
  5. joel                            - matip......................liverpool         euro 20
  6. victor                         - wanyama  .............totenham        euro 18
  7. riyad                          - rmahrez.................leicester city   euro 30
  8. naby                          - keita.......................RB leipzig       euro 23
  9. pierre                        -  aubameyang........B .dortumund  euro 65
  10. saidio                        -  mane ...................liverpool           euro 38
  11. mohamed                 -  salah ....................Roma               euro 30
substitute
  1. andrew onana - golkeeper
  2. mehdi benatia -central back
  3. nabil bentaleb  -central midfielder
  4. ahmed musa - right winger
  5. islam sliman --secondary striker

tupe maoni yako na kama ikiwezekana tuwekee kikosi chako ukionacho kuwa bora

tembelea www.wabongowatz.blogspot.com    kwa taarifa zaidi na u-like page na kuifuata

tembelea www.transfermarkt.com   kwa kumbukumbu ya taarifa hii


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TAKWIMU - Epl ligi bora duniani ikifuatiwa na la liga

Nnape Nnauye fundi wa mpila alijisahau kucheza kwa maelezo ya kocha wake