Barakah The Prince akana kurudi katika menejiment yake ya zamani

Msanii wa kizazi kipya baraka andrew almaarufu Barakah The Prince amekana kurudi katika menejiment yake ya zamani wakati akihojiwa katika kituo cha redio ya clouds fm,

Tokeo la picha la barakah the prince wikipedia

Pia  alifananisha kurudi kwenye menejiment yake ya zamani sawa na kujenga ghorofa na kulibomoa na kwenda kuishi kwenye nyumba ya udongo, hayo yamesemwa leo katika kipindi cha  xxl cha clouds fm,

Vip wewe shabiki yake unazungumziaje menejiment hii ya barakah ukiiangalia ile aliyoanza nayo muziki ?

Je kwa hapa alipo rocstar 4000 ni sawa na ghorofa kurudi kwenye menejiment yake ya mwanzo tetemesha entertainment ni sawa kurudi kwenye nyumba ya udongo ?

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TAKWIMU - Epl ligi bora duniani ikifuatiwa na la liga

Nnape Nnauye fundi wa mpila alijisahau kucheza kwa maelezo ya kocha wake