lipumba amvua ukatibu mkuu maalim seif
Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF leo ametangaza kumvua nafasi ya ukatibu mkuu aliyekuwa makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar na katibu mkuu wa CUF na nafasi take kuchukuliwa na mbunge wa kaliua Mh.Magdalena Sakaya
Akitangaza maamuzi hayo emesema maalim seif amevuliwa nafasi yake kutokana na utoro kazini
Maoni
Chapisha Maoni