wapo - nay wa mitego wimbo wafungiwa

wimbo wa wapo ulioimbwa na msanii nay wa mitego umefungiwa
taarifa ya kufungiwa kwa nyimbo hiyo imetolewa na baraza la sanaa la taifa -BASATA

Tokeo la picha la nay wa mitego

Wimbo huo ulioonekana kuyateka masikio ya wanaburudani hasa baada ya kuwa umeenda na wakati uliopo kwa kuyagusa yale yanayosikika sana katika jamii kwa sasa

nyimbo hiyo iliyoonesha utata pale tu ilipotoka kwa kuwagusa baadhi ya viongozi mashuhuri mf. magufuli na makonda aliyetajwa kama bashite,

hayo yametokea baada ya msanii huyo kukamatwa huko morogoro na baadaye kurudishwa dar es salaam, ambapo leo BASATA kwa kutumia kifungu namba 4(L)cha sheria ya BASATA namba 23 ya mwaka 1984 kinachoipa BASATA mamlaka ya kusimamia yote yafanyikayo katika tasnia ya sanaa hayayumbishi usalama wa nchi

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TAKWIMU - Epl ligi bora duniani ikifuatiwa na la liga

Nnape Nnauye fundi wa mpila alijisahau kucheza kwa maelezo ya kocha wake