TAKWIMU - Epl ligi bora duniani ikifuatiwa na la liga

Kupitia mtandao wa transfermarkt ambao huwa unatoa taarifa za wachezaji , team ,ligi na michuano mbali mbali, nimekuletea taarifa takwimu zinazoonyesha thamani ya ligi kuu ya uingereza na ile ya uhispania,thamani ya vilabu viwili vya juu na viwili vinavyoshika mkia

 Zifuatazo ni tarifa hizo kama zinavyoletwa kwenu na mimi mwandishi wenu wa wabongo


KIGEZO  EPL (EURO) LALIGA(UERO)
THAMANI YA LIGI NZIMA 4.91 Billion 3.62 Billion
WASTANI WA THAMANI ZA WACHEZAJI 9.54 million 7.5 million
MCHEZAJI GHALI KATIKA LIGI 80 million 120 million
VILABU VYENYE THAMANI ZAID
YA KWANZA 525.25 million 766.80 million
YA PILI 515.00 million 753.50 million
VILABU VYENYE THAMANI NDOGO
YA KWANZA 85.00 million 37.00million
YA PILI 98.60 million 43.10 million
TOFAUTI KATI YA WA KWANZA NA WA MWISHO 440.25million 729.8 million


Mchanganuo hapo juu unaonyesha laliga kuna team kubwa sana za real madrid na barcelona lakini baada ya hizo team nyingine ni ndogo sana na zisizoleta upinzani wa kutosha kwenye ligi



EPL kuna tem kubwa japo sio level za kina real madrid lakini hata team zinazofuata zinathamani kubwa

Team inayoburuza mkia EPL ina thamani zaid  ya jumla ya vilabu viwili vinavyoburuza mkia uhispania

Tofauti kati ya team ya kwanza na ya mwisho ni kubwa mno uhispania

Kwa taarifa hizi na zaid tembelea  wabongo https://wabongowatz.blogspot.com/
 

karibu tena katika blog hii kwak






Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Rais magufuli kupitia kwa waziri wa habari watengua kufungiwa kwa nyimbo ya nay wa mitego na kuagiza aachiwe