Rais magufuli kupitia kwa waziri wa habari watengua kufungiwa kwa nyimbo ya nay wa mitego na kuagiza aachiwe

leo masaa machache baada ya kutoka kwa taarifa ya awali juuu ya kufungiwa kwa nyimbo ya ney wa mitego,rais ameamua kutengua kufungiwa kwa nyimbo hiyo

Tokeo la picha la mwakyembe na magufuli

hayo yamesemwa leo huko mjini dodoma na waziri wa habari alipokuwa akiongea na vyombo vya habarin na kuelezea kuwa 

rais ameagiza kuachiliwa kwa msaniii huyo pamoja na kuitoa kifungoni nyimbo hiyo tena akipendezwa kama itaongezewa ujazo zaid na kugusa baadhi ya sehemu ambazo hazikutajwa hapo mwanzo

rais ameonyesha kuipenda nyimbo hiyo na kutaka ipigwe redioni

Maoni

  1. CASINO - JT Hub
    With online 원주 출장마사지 casino, slots, live dealer games, poker, bingo, 남원 출장안마 bingo 충청북도 출장마사지 and a wide range 구미 출장안마 of entertainment, CASINO offers the perfect fit for 서울특별 출장안마 every occasion!

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TAKWIMU - Epl ligi bora duniani ikifuatiwa na la liga

Nnape Nnauye fundi wa mpila alijisahau kucheza kwa maelezo ya kocha wake