RC Paul Makonda kuongea na vyombo vya habari dodoma leo je waandishi wameshasitisha maazimio yao waliyoyatoa


RC PAUL MAKONDA KUONGEA NA VYOMBO VYA HABARI


Waandishi wa habari wakiwa katika ukumbi tayari wakimsubilia mkuu wa mkoa Dar es salaam




Ikumbukwe kwamba hivi karibuni baada ya tukio lililoonekana ni la kuvamiwa kwa kituo cha habari cha clouds media na mkuu wa mkoa Dar es salaam RC Paul Makonda, waziri aliyekuwa akihudumu katika wizara hiyo aliunda kamati ya uchunguzi wa tukio hilo na kuja na mapendekezo kadhaa 
moja ya mapendekezo hayo ni kutoandika habari zinazomhusu mkuu huyo wa mkoa wa Dar es salaam 

Katika hali iliyozusha sintofahamu inasadikika ni kwa tukio hilo ndilo lililosababisha aliyekuwa waziri wa habari sanaa michezo na wasanii atolewe katika nafasi yake
lakini ni je baada ya hayo yote imekuwaje waandishi wakae mkao wa kula wakimsubilia mkuu huyo awape neno,
je ? ni kweli waandishi walitoa mapendekezo yale kwa umoja wao au yalikuwa mapendekezo ya mmoja wao tu, au baadhi ya vyombo vichache 

Ila ukweli ni kwamba makonda leo anatarajiwa kuongea na vyombo vya habari , ataongea mambo mengi kumhusu na wananchi na vyombo vya habari vinashahuku ya kusikia kutoka kwake RC Paul Makonda

kila la kheri tukutane baadaye kidogo nikujuze kaongea nini

tutembelee tena  www.wabongowatz.blogspot.com









Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TAKWIMU - Epl ligi bora duniani ikifuatiwa na la liga

Nnape Nnauye fundi wa mpila alijisahau kucheza kwa maelezo ya kocha wake